Suluhisho moja na la pekee kwa mahitaji ya kutunza kumbukumbu za vikundi vya kuweka na kukopa. Pakua App sasa kisha sajili kikundi chenu na wanachama wake na uanze kurekodi michango yenu, mikopo pamoja na gharama za uendeshaji wa kikundi chenu.
Pia utaweza kutunza kumbukumbu za mapato ya miradi yenu ikiwa kikundi kina miradi kinayoiendesha na kujua faida inayopatikana kirahisi zaidi

App inakuwezesha kurekodi michango ya kila mwanachama na kila mmoja ataweza kuona michango ya yote kwenye akaunti yake.
Angalia hali ya mikopo ya wanachama pamoja na kujua jumla ya kiasi kilichokopeshwa kwa wanachama.
Jua kiasi cha Akiba za kila mwanachama na jumla waliyoweka wanachama wote kirahisi zaidi.
Rekodi mapato na matumizi ya miradi ya kikundi kisha pata repoti yenye kuonyesha faida mliyopata kwa kila mradi.
Tunza kumbukumbu za Gharama za uendeshaji wa kikundi kwa ujumla
App itawasaidia ripoti mbalimbali kama Ripoti ya michango kwa ujumla, Hisa za Wanachama, Mikopo, Akiba nk.
Inapatikana kwenye Google Play store pakua App sasa kwa kubofya hapa.
Android Kitkat and above.
Uhuru Heights, Mezzanine Floor, Bibi Titi Rd, P.O.Box 90104 Dar es Salaam.Tanzania